"Utaratibu unafanywa wa kumpeleka Edward Lowassa Mahakamani" - LISSU
Описание
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa Habari na kuzungumza ishu mbalimbali ikiwemo ya Lowassa kupelekwa Mahakamani.
Pia Lissu amezungumzia tukio la kukamatwa kwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Mashinji pamoja na Wabunge wawili.
Комментарии